TUNDU LISU AANZA KUSIMAMA KWA MSAADA

Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu  ameweza kusimama kwa mara ya kwanza kwa msaada wa madaktari wanaomtibu, baada ya kuwa hospitalini hapo kwa zaidi ya miezi mitatu sasa akipatiwa matibabu ya mwili.

Tundu Lisu ambaye pia ni Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika alishambuliwa kwa kupigwa risasi kadhaa na watu wasiojulikana wakati akitoka kwenye vikao vya bungeni, Septemba 7, mwaka huu na kupeleka Nairobi kwa matibabu.

Binafisi amesema madaktari wamemhakikishia kuwa hali yake imeimalika na kwamba atapona haraka majeraha ya risasi na ataweza kuendelea na majukumu yake kama kawaida.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU