MAMS BAKERY BITES WANATISHA KWA VITAFUNWA

Wataalamu waliobobea kutengeneza keki kwa ajili ya sherehe mbalimbali Jijini Dar es Salaam, Bi. Fartima Kinega (kushoto) na Bw. Simon Peter wakionyesha moja ya keki zinazoandaliwa katika Bakery yao ya Mams Bites iliyopo katika Jengo la Benjamin Wiliam Mkapa Pension Tower Barabara ya Azikiwe.
"Karibu Mams Bakery Bites", Ndivyo anavyosema Mkurugenzi wa Mams, Bi. Pili Mpenda wakati akionyesha baadhi ya vitafunwa vitamu vinavyoandaliwa katika Bakery yake ya kisasa kwa ajili ya ya wateja wake.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mams Bakery Bites, Pili Mpenda akionyesha baadhi ya vitafunwa vitamu vinavyoandaliwa katika Bakery yake ya kisasa kwa ajili ya wateja. Wengine ni wasaidizi wake.
Hawa ni baadhi ya wataalam waliobobea kwa ajili ya kutengeneza Keki, Mikate, Sambusa, Chapati na Maandazi katika ndani ya Mams Bites. hapa wakionyesha baadhi ya vitafunwa vilivyokuwa tayari.
Fadhila Yahaya, mmoja wa watenda kazi wa Mams Bakery Bites akionyesha aina mbali mbali za mikate inayoandaliwa na Mams Bakery kama French Bread, Giraffe, Milk, Brown, Sandwich, Sweet, White Soup, Twist, Ots na Chokulate.
Baadhi ya wateja wakisubiri huduma ndani ya Mams Bakery Bites.

Baadhi ya vitafunwa vilivyoandaliwa kwa ajili ya kusubiri wateja vikiwa katika kabati maalumu
"Karibu uchague kitafunwa kinachokufaa", Ndivyo anavyosema mmoja wa wataalam hawa Bi. Fatima Kinega (wa kwanza kushoto)
Mikate aina mbalimbali, Maandazi, Sambusa na keki vikiwa tayari

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU