NAIBU SPIKA AWAPIGA TAFU UJENZI NAMTUMBO

 Naibu Spika Dk. Tulia Ackson (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Namtumbo, Luckness Alima (wa tatu kushoto), mfano wa hundi ya Sh milioni 8 iliyotolewa na taasisi yake kuchangia ujenzi wa Wodi ya akina mama wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Wilaya ya Namtumbo juzi.
 Naibu Spika akifurahia jambo wakati akikabidhi mfano wa hundi ya milioni nane
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mantra, Fredy kibodya, akizungumza wakati wa harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa Wodi ya akina mama wajawazito na chumba cha upasuaji katika hospitali ya Namtumbo mkoani Ruvuma jana.



Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

TUTARUDI NA ROHO ZETU?

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru

HOFU