Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Ikulu Dar es Salaam jana na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Kalonzo Musyoka
Rais Jakaya Kikwete akiongea na ujumbe wa kenya ulioongozwa na Makamu wa Rais Kalonzo Musyoka
Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Mfalme Peter Nabongo Mumia wa Ukoo wa Wanga wa Magharibi mwa Kenya wakati Makamu wa Rais wa Kenya Bw. Kalonzo Musyoka alipomtembelea Ikulu Dar es salaam
Karibuni Ikulu; Rais Kikwete akimkaribisha Makamu Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka jana
Comments
Post a Comment