NUSURA WATOANE ROHO WAKIGOMBEA UTUMBO WA MBUZI VINGUNGUTI

KATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA, VIJANA HAWA WALIKUTWA KANDO YA RELI YA KATI, ENEO LA VINGUNGUTI, DAR ES SALAAM, WAKIGOMBEA UTUMBO WA MBUZI.
HAPA WAMEKABANA KILA MMOJA AKISISITIZA KUWA UTUMBO NI MALI YAKE HUKU MWENYE MBUZI (KUSHOTO), AKIJARIBU KUWASIHI WAACHE KUPIGANA.
HAPA MWAFAKA UNAPATIKANA BAADA YA MMOJA KUKUBALI KUACHIA UTUMBO.
HAPA ZOEZI LA KUANDAA UTUMBO WA MBUZI ALIYECHINJWA LINAENDELEA BAADA YA UGOMVI, HUKU MMOJA WAO WAKILALAMIKIA KITENDO CHA KUPIGWA PICHA
"AAAAH JAMANI, UTUMBO TU WATU WANATAKA KUTOA ROHO, NINI HII". ANASEMA MWENYE UTUMBO ALIYESIMAMA KUSHOTO HUKU AKISUBIRI KAZI IFANYIKE.

Comments

HABARI ZILIZOPITA

HEKAYA ZA ABUNUWASI

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79

PATA HADITHI ZA UPELELEZI ZA KUSISIMUA

HOFU

Vifaa vya Kijeshi vilivyotia fora maonesho ya miaka 50 ya Uhuru