HUU NI MJI WA MBINGA, ULIKO MKOANI RUVUMA, KAMA UNAVYONEKANA WA KUVUTIA BAADA YA KUPATA BARABARA SERIKALI KUJENGA BARABARA MPYA YA LAMI YA KILOMITA 100 KUTOKA SONGEA.
MAGARI YAKIPITA KWENYE BARABARA HIYO KUTOKA SONGEA NA WILAYA MPYA YA NYASA
MOJA YA MADARAJA YA KISASA YALIYOJENGWA KWENYE BARABARA HIYO
HII NI FURSA KWA WANANCHI WA MJI HUU KUKUZA UCHUMI WAO.

Comments
Post a Comment